Happy Mbuya - AONAAA! (Official Music Audio)
-
"Nimeachia Wimbo wangu unaitwa ONAA! Nitakutumia link unisaidie kushare ,
usisahau kususcribe na comments. Nitafurahi sana uki saport huduma hii
iwe...
Monday, June 28, 2010
SUGU MIKONONI MWA POLISI...
Hizi ni habari ambazo nimezipokea si muda mrefu sana,Mr ii aka SUGU amekamatwa na polisi leo asubuhi akijiandaa kwenda kwenye kikao cha press talk katika ukumbi wa Balaza la Sanaa la Taifa(BASATA),mpaka sasa haijafahamika sababu za kukamatwa kwa mkongwe huyo wa muziki wa Hiphop nchini..endelea kuwa hapa kwa habari zaidi....saurce:michuzijr.blogspot.com
Posted by RENATUS KILUVIA at 6:35 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment