Kliniki ya kusikiliza Wananchi yaanza Rasmi Mkoani Arusha.
-
Na Jane Edward, Arusha
Vilio, nyuso za Huzuni, Majonzi na sura zilizokufa Matumaini ni mambo
yaliyotawala kwenye Nyuso za mamia ya Wakazi wa Mkoa wa Aru...
Monday, June 28, 2010
SUGU MIKONONI MWA POLISI...
Hizi ni habari ambazo nimezipokea si muda mrefu sana,Mr ii aka SUGU amekamatwa na polisi leo asubuhi akijiandaa kwenda kwenye kikao cha press talk katika ukumbi wa Balaza la Sanaa la Taifa(BASATA),mpaka sasa haijafahamika sababu za kukamatwa kwa mkongwe huyo wa muziki wa Hiphop nchini..endelea kuwa hapa kwa habari zaidi....saurce:michuzijr.blogspot.com
Posted by RENATUS KILUVIA at 6:35 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment