Hii ndio album cover ambayo imechukuwa jackpot kwenye covers kibao za albam za mtoni nlokwishawahi kuziona,before sjaiona hii album cover ilokuwa jackpot ni albam ya mtu mzima SCARFACE ya mwaka 1995 kama unakumbuka vizuri,albam iliitwa "The Diary",so kwa maana hiyo basi hii imeizidi ile,hii ni albam ya "dogo" Wayne(mi namwita dogo n don' ask me why) inaitwa "The Cater III.Kazi imeanza sasa.
WAZIRI MKUU AWATAKA WAKANDARASI MIRADI YA UMWAGILIAJI KUZINGATIA UBORA
-
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopewa
dhamana ya ujenzi wa Miradi ya umwagiliji kuhakikisha waaitekelza kwa
weledi na ubor...
0 comments:
Post a Comment