Hongera mshikaji wangu wa longtime na kufa na kuzikana Liberatus Musiba aka Odele aka Baba Nyambela kwa kutuletea mtoto mzuri wa kike aitwae Nyambela,mimi nimefurahi sana kwakweli kwa 7bu imekuwa surprise kwetu wengi,lakini kwanini hukutaka kutuambia kuwa mkeo mpendwa Junko Kato ni mjamzito??naamini ulitaka kufanya surprise na kweli umefanikiwa,mimi sina mengi kwakweli ila kukupongeza na kukukaribisha katika ulimwengu huu wa "kuitwa baba",wenzako tulishakutangulia muda kidogo,nawatakia furaha njema wewe na familia yako yote huko Tokyo Japan,msalimie mkeo Junko na "mgeni wetu" Nyambela.
Nafasi ya kushinda Mamilioni Ipo Meridianbet
-
JE unajua kuwa leo hii unaweza ukaondoka na ushindi mnono kabisa endpao
utaweza kubashiri mechi zako za ushindi?. Timu kibao zipo uwanjani
kukusubiri ...
0 comments:
Post a Comment