Hongera mshikaji wangu wa longtime na kufa na kuzikana Liberatus Musiba aka Odele aka Baba Nyambela kwa kutuletea mtoto mzuri wa kike aitwae Nyambela,mimi nimefurahi sana kwakweli kwa 7bu imekuwa surprise kwetu wengi,lakini kwanini hukutaka kutuambia kuwa mkeo mpendwa Junko Kato ni mjamzito??naamini ulitaka kufanya surprise na kweli umefanikiwa,mimi sina mengi kwakweli ila kukupongeza na kukukaribisha katika ulimwengu huu wa "kuitwa baba",wenzako tulishakutangulia muda kidogo,nawatakia furaha njema wewe na familia yako yote huko Tokyo Japan,msalimie mkeo Junko na "mgeni wetu" Nyambela.
PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA RAIS SAMIA UZINDUZI MKAKATI WA TAIFA WA
MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
amesimama pamoja na viongozi mbalimbali wakati Wimbo wa Taifa ukiimbwa
kwenye ha...
0 comments:
Post a Comment