Poleni kwa bata ndefu wadau na fans wangu wote wa blog ya burudani,kiukweli ndugu zangu Pasaka kwangu ilikuwa njema sana,na namshukuru MUNGU kwa Pasaka njema,naamini kwako pia ilikuwa njema,Pasaka kwakweli wadau mimi binafsi sikupata nafasi ya kutoka kwenda popote zaidi ya ibada tatu nilizopata nafasi ya kuhudhuria,nilipata nafasi ya kuhudhuria ibada ya Pasaka jumamosi ya mkesha wa Pasaka usiku kwenye Kanisa Katoliki Dayosisi ya Manzese Uzuri,nikashuhudia igizo maalum la pasaka,kiukweli niliienjoy sana,jumapili pia nikahudhuria ibada ya pili palepale kanisani,baada ya ibada nikatulia nyumbani nikicheki muvi za hapa na pale mpaka siku ikaisha,jumatatu ya jana nilihudhuria pia ibada ya pili palepale kanisani kwetu Manzese na baada ya hapo nikajongea zangu kazini kama kawa,so pasaka ilikuwa kama hivyo,hebu nawe pia nijuze unambie pasaka yako ilikuwaje???ukishindwa kucomment nicheki katika bizzo4shizzo@ymail.com
RUVUMA:JESHI LA POLISI WAMTIA MBARONI WIZI WA VIFAA NDANI YA MAGARINI HALFA
MINJA MKAZI WA SANAWALI JIJI LA ARUSHA
-
Kamanda wa Polisi mkoani Ruvuma Kamishina msaidizi mwandamizi Marco
Chilya,akiwaonyesha Waandishi wa Habari(hawapo pichani)baadhi ya
milipuko(baruti) a...
0 comments:
Post a Comment