TUGHE yYANOA VIONGOZI KUHUSU AI NA TEKNOLIJIA ZA KIDIGITALI KAZINI.
-
Na Mwandishi Wetu, Arusha.
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimewakutanisha
viongozi wa matawi na waajiri zaidi ya 800 kutoka...
Monday, March 29, 2010
HAPPY BIRTHDAY DI' DADA!!
Japo hujasema ni kalenda ya ngapi umechana leo lakini kwangu sio ishu,mi nakutakia tu uchane kalenda mia zaidi na kila ndoto unayoota iwe kweli,happy birthday bi' dada!!!!
Posted by RENATUS KILUVIA at 4:18 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Hongera Agness!
ha ha ha...ahsante jamani kija, ndoto nyingine za kutisha bwana...sasa zikiwa kweli ntaishi kweli nduguyo? hahaa haa. ubarikiwe saaana kaka...pa1
Post a Comment