BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Friday, April 23, 2010

"MAKENGEZA" YANGU THIS WEEK(HEBU CHEKI HAWA HAWAFANANI KWELI JAMANI)

Jamani sasa hivi blog yenu ya burudani iko sawa so unaweza ku-comment mara kibao uwezavyo,wadau na fans baada ya wiki iliyopita kuwaleta mabrotherman wawili ktk segment yetu hii ya "makengeza" ambao walikuwa ni Jason Delulo na Chriss Brown na kukuuliza kama wanafanana au ni makengeza yangu tu,leo nakuja na hawa mabrother wengine wawili,but kabla sijawaweka hapa kwanza nashukuru kwa wote walioshiriki wiki iliyopita,naamini tutaendelea kushirikiana zaidi na zaidi,sasa leo niko naaaaaaaa!!!!!!

                                                                  AVANT
 
                                                R-KELLY

Hebu sasa niambie mdau wangu,hawa jamaa hawafanani kweliii???

3 comments:

Anonymous said...

Du!!!!mwanangu hawa ni ndugu??wanafanana kinoma>>

Anonymous said...

MHHH WALAA!!!

Anonymous said...

Kwakweli hata mi naona wanafanana bwana