KAKA
Leo tar 22 April ni birthday ya mshikaji hapo juu ambaye alizaliwa tar kama ya leo mwaka 1982,star huyu anakipiga kwenye klabu ya Real Madrid ya Hispania na pia timu ya taifa ya Brazil,jezi anayoivaa ni no 8.So kama unasheherekea birthday yako leo basi unashea birthday na superstar huyu wa soka.Blog ya burudani inawatakia wale wote wanasherehekea birthday zao leo Happy birthday.
TUSUBIRI MAAJABU YA MEZA KUPINDULIWA LUPASO
-
KLABU ya Simba imeshindwa kutamba ugenini katika hatua ya robo fainali
mkondo wa kwanza dhidi ya Al Masry ya nchini Misri baada ya kupokea kipigo
ch...
1 comments:
Happy birthday Kaka!!
Post a Comment