KAKA
Leo tar 22 April ni birthday ya mshikaji hapo juu ambaye alizaliwa tar kama ya leo mwaka 1982,star huyu anakipiga kwenye klabu ya Real Madrid ya Hispania na pia timu ya taifa ya Brazil,jezi anayoivaa ni no 8.So kama unasheherekea birthday yako leo basi unashea birthday na superstar huyu wa soka.Blog ya burudani inawatakia wale wote wanasherehekea birthday zao leo Happy birthday.
Benki ya CRDB yakabidhi madarasa Sekondari ya Kikilo, Shule ya Msingi
Isabe, Kondoa
-
Benki ya CRDB kupitia sera yake ya uwekezaji kwa jamii, Aprili 24 - 25,
2024 ilikabidhi madarasa mawili katika Shule ya Sekondari Kikilo na
madarasa mengi...
1 comments:
Happy birthday Kaka!!
Post a Comment