BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Thursday, April 22, 2010

"NDOA" YA BONGO MOVIES NA EMPTYSOULZ PRODUCTION DEAD!!

Ile "ndoa" kati ya kipindi maarufu kinachorushwa EAtv kinachodili na superstars wa filamu za kibongo na kampuni iliyokuwa inatengeneza kipindi hicho EmptySoulz Production imefika mwisho.

                                                      JOYCE KIRIA NKONGO

Mpaka sasa blog ya burudani "muziki na maisha" haijapata "chamno" kilichotokea kati ya kampuni inayomiliki kipindi hicho(Local Movies)  na EmptySoulz Production.Kipindi hicho ambacho awali kabla hakijaanza kutengenezwa na EmptySoulz kilikuwa kinatengenezwa na Screen Media hivi sasa kinatengenezwa na PiliPili Entertainment na episode ya kwanza ya Pilipili Entertainment imeanza kuonekana j5 ya jana.

                                                EMPTYSOULZ PRODUCTION

3 comments:

Anonymous said...

Huyu dada atashine kweli kama kipindi kile alivyokuwa na empty souls au wadau wa fani hhi mnasemaje sababu nimeona japo kwa kidogo kipindi cha kwanza cha hao pilipili ent lakini hakikunivutia kama walivyowahi kufanya pamoja na empty nadhani kuna mapungufu wenzanguuu!tha zealot

Anonymous said...

Ndo hivyo mdau,eti,embu tusemege na ukweli coz hata mimi nimekiona kipindi,kitambwela sana nahisi....

Anonymous said...

NGoja tuoneee