HASHEEM THABEET MANKA
Mdau na fans wangu,jana katika pitapita zangu kwenye foleni zetu za mataa ya jiji hili ni kama sikuamini vile,pembeni yangu ikapaki gari moja ya maana sana,achana na hizi Range Rover Sport zilizojaa hivi sasa hapa town za milioni 45 mpaka 50,ilipaki Range Rover Vogue halisi ya "ukweli" ambayo bei yake kwa harakaharaka ni kama 250 mil za kibongo na ndani yake alikuwamo mchezaji anayechezea timu ya mpira wa kikapu ya Merphis Grizzlies inayoshiriki ligi nambari moja ya kikapu duniani ya NBA Hasheem Thabeet Manka,sasa ndo nikagundua kumbe mshikaji yuko town.Karibu home bwana,mvua mvua ndo hii na kijotojoto kimepungua kidogo tuna-enjoy kiaina.
RANGE ROVER VOGUE
DKT.MWINYI : AJIRA KWA VIJANA KUWA SERA MAMA YA SERIKALI IJAYO
-
Pangawe, Zanzibar – 01 Oktoba 2025
MGOMBEA wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),
ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti...
0 comments:
Post a Comment