Ilikuwa ni j5 ya wiki iliyopita,nilitoa kama ka-quiz hivi,nilitoa picha ya mtoto huyo hapo juu na kuuliza "Guess who is this",najua wengi walishindwa ku-comment coz najua blog yetu ina tatizo kidogo kwenye ku-comment,lakini wale waliopata nafasi ya kuniandikia emails wote walikosa,jamani huyu niiiiiiiii!!!!!!!
MAKO CHALI,producer mkali wa muziki wa kizazi kipya hapa Bongo,yuko pale MJ RECORDS.Thanx kwa wote walionitumia emails na tuendelee kushirikiana na blog yetu ya burudani.
WADAU WAOMBWA KUJITOKEZA KUDHAMINI TAMASHA LA KUOMBEA UCHAGUZI MKUU MWAKA
HUU
-
Wadau mbalimbali na Watanzania wameombwa kujitokeza kwa wingi kudhamini
Tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu litakalofanyika katika mikoa 26 nchini
Akizungum...
0 comments:
Post a Comment