J-MARTINS
Ijumaa hii nitakuwa na albam ya mchizi huyu kutoka pande za Nigeria ambaye hivi sasa yuko kwenye ardhi ya J.K akipiga tour yakutosha tu,albam inaitwa "Elevated".Usikose kupitia blog hii ya burudani ili kujua zaidi......au vipi!!!!
Meridianbet Missions, Njia Mpya Ya Kuburudika Na Kushinda Zaidi
-
KARIBU kwenye msimu mpya wa michezo ya kasino kupitia Meridianbet Missions,
mfumo wa kipekee uliobuniwa kwa ajili ya wapenzi wa michezo ya kubashiri.
...
0 comments:
Post a Comment