Keshokutwaaaaaaa!!!!!!!!!!imefika bana,nilikuwa naona mbali kumbe kariiibuuuu,wadau zile tuzo ambazo naweza sema kwa sasa zinaheshimika sana BET Awards 2010 ni keshokutwa tu tar 27,tuzo hizo ambazo mwaka huu ni mwaka wake wa kumi toka zianzishwe zinategemewa kuwa kali sana kuliko miaka yote iliyopita,Mc ni Queen Latifah na tutegemee kuona shows kali kutoka kwa Chris Brown,Lil Wayne,Drake,Nicki Minaj na wasanii wengine kibao tu,mi yangu macho nani atakuwa nani...ntakushushia hapahapa MNM....
TIA YAANZISHA KAMPASI MPYA MKOANI TANGA
-
NA EMMANUEL MBATILO
TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imeanzisha Kampasi mpya ya TIA mkoani
Tanga, ambayo inalenga kuhudumia wanafunzi kutoka kanda ya Kask...
0 comments:
Post a Comment