Keshokutwaaaaaaa!!!!!!!!!!imefika bana,nilikuwa naona mbali kumbe kariiibuuuu,wadau zile tuzo ambazo naweza sema kwa sasa zinaheshimika sana BET Awards 2010 ni keshokutwa tu tar 27,tuzo hizo ambazo mwaka huu ni mwaka wake wa kumi toka zianzishwe zinategemewa kuwa kali sana kuliko miaka yote iliyopita,Mc ni Queen Latifah na tutegemee kuona shows kali kutoka kwa Chris Brown,Lil Wayne,Drake,Nicki Minaj na wasanii wengine kibao tu,mi yangu macho nani atakuwa nani...ntakushushia hapahapa MNM....
Washindi wa wiki promosheni ya kishindo cha kufunga mwaka walamba mil.5
-
*Meneja wa Tigo Kanda ya Ziwa, Gwamaka Mwakilembe Akimkabidhi Mausel Magesa
Mshindi Wa Milioni Tano katika promosheni ya kishindo ch kufunga Mwaka
mkoani ...
0 comments:
Post a Comment