"Ile naamka tu baba ananitumia sms..ati leo ni birthday ya huyu jamaa..anaitwa Hamisi Mandi aka B-12 aka B-Dozen na aka zingine kibao tu,eti ba'mdogo unafikisha miaka mingapi leo eti?kwa niaba ya mshua pamoja na fans wote wa MNM nakutakia maisha marefu na yenye fanaka tele wewe na yeyote mwingine aliyezaliwa tar kama ya leo..Happy Birthday B-12"..
RAIS SAMIA AKIWA KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA
ZANZIBAR
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia
Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa Uh...
0 comments:
Post a Comment