KAKA
Leo tar 22 April ni birthday ya mshikaji hapo juu ambaye alizaliwa tar kama ya leo mwaka 1982,star huyu anakipiga kwenye klabu ya Real Madrid ya Hispania na pia timu ya taifa ya Brazil,jezi anayoivaa ni no 8.So kama unasheherekea birthday yako leo basi unashea birthday na superstar huyu wa soka.Blog ya burudani inawatakia wale wote wanasherehekea birthday zao leo Happy birthday.
DKT. BITEKO AIPA KONGOLE REA
-
-Utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko
ameupongeza W...
1 comments:
Happy birthday Kaka!!
Post a Comment