Justine Timberlake
Robin Thickel
Wadau kuna mtu aliniambia kuwa anawafananisha sana hawa jamaa,kwa sura,wanavyovaa na kuimba pia.Ikabidi niingie kazini kulichunguza hili,duh nikaja gundua kuwa kuna ukweli ndani yake,Justine Timberlake na Robin Thickle ni kama brothers hivi?(sina maana ya ndugu).Sasa hebu nawe tuambie basi unawaonaje?ni kweli wanashabihiana au macho yetu tu,labda wengine tuna makengeza teh!teh!teh!teh!
BRIGEDIA JENERALI MABENA AWEKA JIWE LA MSINGI MAHANGA YA VIJANA KIKOSI CHA
824 KJ KANEMBWA
-
Mkuu wa Tawi la Utawala JKT, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akiweka jiwe
la Msingi ujenzi wa Mahanga ya Vijana katika kikosi cha 824 KJ
Kanembwa,Wila...
1 comments:
Labda wamefanana pua!!
Post a Comment