Justine Timberlake
Robin Thickel
Wadau kuna mtu aliniambia kuwa anawafananisha sana hawa jamaa,kwa sura,wanavyovaa na kuimba pia.Ikabidi niingie kazini kulichunguza hili,duh nikaja gundua kuwa kuna ukweli ndani yake,Justine Timberlake na Robin Thickle ni kama brothers hivi?(sina maana ya ndugu).Sasa hebu nawe tuambie basi unawaonaje?ni kweli wanashabihiana au macho yetu tu,labda wengine tuna makengeza teh!teh!teh!teh!
MALIPO YA WATOA HUDUMA HUZINGATIA MIKATABA YA ZABUNI
-
*Na. Peter Haule, WF, Dodoma*
Serikali imesema kuwa ulipaji wa madai yanayotokana na kupokelewa kwa
bidhaa au huduma huzingatia masharti ya mikataba ...
1 comments:
Labda wamefanana pua!!
Post a Comment